Home SHIBOLI NJE YA DIMBA MWEZI MZIMA Anonymous December 10, 2010 0 Comments Facebook Twitter MSHAMBULIAJI mpya wa timu ya Simba Ali Ahmed Shiboli atakaa nje ya uwanja kwa mwezi mmoja kutokana na kuumia nyonga alipokuwa akifanya mazoezi na timu yake ya Taifa, Zanzibar Heroos mapema wiki hii. Facebook Twitter
Post a Comment