Home SIMBA KUANZA KUJINOA 'GYM' JUMATATU ANID LINK December 04, 2010 0 Comments Facebook Twitter WACHEZAJI wa Simba wataanza mazoezi ya Gym jumatatu ijayo kwa ajili ya kujenga miili yao kabla ya wiki mbili badaye kuanza mazoezi ya uwanjani ikiwa ni maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara na michuano mingine. Facebook Twitter
Post a Comment