Home YANGA YAITA WANAOTAKA KWENDA KUSHIRIKI TAMASHA LA PASAKA ZANZIBAR Anonymous March 24, 2011 0 Comments Facebook Twitter KLABU ya yanga imewataka wale wataokwenda kwenye sherehe za sikukuu ya Pasaka visiwani Zanzibar kufika makao makuu ya klabu hiyo ili kujiandikisha majina yao sambamba na kupata taratibu nyingine kuhusiana na ziara hiyo. Facebook Twitter
Post a Comment