Home NSA JOB KUJARIBIWA SWEDEN Anonymous May 31, 2011 0 Comments Facebook Twitter MSHAMBULIAJI wa Yanga Nsa Job Mahenya anatarajiwa kwenda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa nchini Sweden.Habari zilizopatikana kutoka Yanga zinasema kwamba Job atakwenda kujaribiwa katika klabu moja ya daraja la kwanza nchini humo. Facebook Twitter
Post a Comment