Beki Mhispania wa Liverpool, Jose Enrique akiwa kazini mida hii katika mechi ya Ligi Kuu ya England dhidi ya Bolton Wanderers kwenye Uwanja wa Anfield, Liverpool. Game inaendelea.


Post a Comment

Previous Post Next Post