Nyota wa Boca Juniors, Lucas Viatri, kulia achuana na mchezaji wa San Lorenzo de Almagro, Jonathan Botinelli katika mechi ya watani wa jadi wa Ligi Kuu ya Argentina, mjini Buenos Aires, Argentina jana. Timu hizo zilitoka 1-1.

Post a Comment

Previous Post Next Post