Mshambuliaji wa England, Wayne Rooney (kushoto) akiwaelekeza jambo wenzake mjini Sofia katika mazoezi ya kujiandaa na mechi dhidi ya Bulgaria inayopigwa leo usiku mjini humo kuwania tiketi ya kucheza fainali za Euro 2012.

Post a Comment

Previous Post Next Post