Bondia, Japhet Kaseba akifanya mazoezi ya kukaza misuri ya tumbo, kambini kwake Mwanyamala, Dar es salaam jana, Kaseba anajiandaa na mpambano na Maneno Osward litakalofanyika mwanzoni mwa mwezi ujao.

Post a Comment

Previous Post Next Post