Nahodha wa Chelsea, John Terry akiwafokea wachezaji wenzake katika mchezo wa jana wa Ligi Kuu England dhidi ya Tottenham Hotspur kwenye Uwanja wa White Hart Lane, London. Timu hizo zilitoka 1-1.

Post a Comment

Previous Post Next Post