Home CHELSEA YASHIKWA Anonymous January 21, 2012 0 Comments Facebook Twitter Grant Holt wa Norwich, akijaribu kumdhibiti David Luiz wa Chelsea, katika mechi ya Ligi Kuu ya England, baina ya timu hizo jana kwenye Uwanja wa Carrow Road, Norwich, England. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana. Facebook Twitter
Post a Comment