Wasalaam,

Kwa masikitiko makubwa, klabu ya soka ya Simba inasikitika kutangaza kifo cha baba mzazi wa mchezaji wake, Rajab Isihaka, kilichotokea leo asubuhi (Machi 19) jijini Dar es Salaam.
Msiba uko nyumbani kwa marehemu Mzee Isihaka Mbagala Charambe jijini Dar es Salaam. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho.

Ezekiel Kamwaga
Ofisa Habari

Post a Comment

Previous Post Next Post