Home SIMBA WAENDA KUJICHIMBIA ZENJI ANID LINK September 25, 2012 0 Comments Facebook Twitter MABINGWA wa ligi kuu bara Simba Sc wanatarajiwa kwenda visiwani Zanzibar kwa ajili ya kambi maalum ya kujiandaa na mechi zake za ligi kuu soka Tanzania Bara na hasa mchezo wao dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Yanga Sc utakaopitka Oktoba 3. Facebook Twitter
Post a Comment