Haya haya wale watu wenye shughuli mbalimbali kama kipaimara, harusi, kitchen party, bag party, send off, birthday n.k mnakaribishwa Angela Cake's utahudumiwa kila aina ya keki zilizotengenezwa kwa ubunifu wa hali ya juu, sambamba na ladha tofauti za kuvutia.
Weka oda yako mapema 0713 297408.
Post a Comment