Nyota wa NBA anayechezea Chicago Bulls, Derrick Rose akionyesha bango lililoandikwa Kichina neno lenye maana "Storming Rose" katika Mkutano na Waandishi wa Habari ikiwa ni sehemu ya ziara yake Mchezaji Bora (MVP) mjini Taipei, Taiwan leo.



Post a Comment

Previous Post Next Post