Home Sabine Lisicki aingia fainali Texas Open ANID LINK August 27, 2011 0 Comments Facebook Twitter Sabine Lisicki wa Ujerumani, akishangilia ushindi wake dhidi ya Irina-Camelia Begu katika Nusu Fainali ya michuano ya Texas Open mjini Grapevine, Texas, jana. Lisicki anavaana na Mfaransa Aravane Rezai katika fainali leo. Facebook Twitter
Post a Comment